Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
472 – 492

Sauti Ya Cabo Delgado 4.06.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 04,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. Wanajeshi waliohusika kupora Mali katika kijiji cha palma…
4 Jun 2021 7AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado 03.06.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 03,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Ripoti ya kila wiki inaoyesha Shida za watu…
3 Jun 2021 10AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado - 02.06.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya Sauti ya Cabo Delgado ya juni 02. 2021 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Mwaka mmoja baadaye macomia inahendelea Na alama…
2 Jun 2021 8AM 4 min

Sauti ya Cabo Delgado, 01.06.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni,01,2021 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Wakati wa ugaidi police yani (PRM) wamewapa ruhusa wanachama…
1 Jun 2021 6AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 31.5.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 31,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari: 🔸Msaada zaidi kwa watu waliohamisha kutoka ugaidi inawasili…
31 May 2021 6AM 4 min

Sauti ya Cabo Delgado — 28.05.2021

Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 28,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na plural media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari: 🔸SADC inasisitiza Msaada wa kupambana Na ugaidi huko Cabo…
28 May 2021 10AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 27.5.2021

Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 27,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari: 🔶 Magaidi wanawakamata samaki huko macomia 🔶 Gavana wa Cabo Delgado anakanusha kuwa vijana…
27 May 2021 8AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado -- 26.5.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 26,2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Familia 270 wasiriwa wa ugaidi watakuwa Na nymba…
26 May 2021 11AM 8 min

Sauti ya Cabo Delgado — 25.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo ya mei, 25, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Mungano wa afia duniani inasema watu milioni…
25 May 2021 9AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 24.5.2021

Habari yako ndugu Nsikilizaji, Karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 24, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media ,kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Magaidi waua watu tano katika…
24 May 2021 7AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado, 21.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei,21,2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Saudi Arabia inataka kujiunga Na Vita dhidi…
21 May 2021 4PM 4 min

Sauti ya Cabo Delgado -- 20.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji,karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei,20,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni Mahada za habari. 🔸Ligi ya Haki za binadamu inafundisha wasaidizi wa…
20 May 2021 11AM 4 min

Sauti ya Cabo Delgado — 19.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 19, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media Na kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Mwishone wapiganaji wa Nangade watapokea…
19 May 2021 9AM 7 min

Sauti ya Cabo Delgado — 18.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 18, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotengenezwa na Plural Media Na kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Karibu watu 50.000 tahari wameondoka katika wilaya ya Palma kutafuta…
18 May 2021 9AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 17.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei,17, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado . Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Wilaya Tano kati ya 17…
17 May 2021 8AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 14.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 14, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delga iliyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Cabo Delgado inapitia Shida…
14 May 2021 8AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 13.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji,karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado ya mei ,13,2021 ,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa Na plural media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Kuriti ya Mahakama ya Cabo Delgado ililazimisha kuhamisha visa kwa sababu ya…
13 May 2021 10AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 12.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 12 muaka 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na plural media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mada za habari. 🔸Walimu wanakata kurudi…
12 May 2021 11AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 11.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei,11, 2021. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushirikiana mradi wa Cabo Ligado. Sasa mada za habari: 🔸Kwa kuzingatia ugaidi huko Cabo delgado, msumbiji itapa…
11 May 2021 2PM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 10.5.2021

Habari yako nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 10, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa nkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushitiana na nradi wa Cabo Ligado. Sasa mada za habari. 🔸Pambana Na ugaidi huko Cabo Delgado…
10 May 2021 10AM 6 min
472 – 492