Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
292 – 312

Sauti Ya Cabo Delgado 22.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi machi,22,2022. 🔸Ukiukaji wa haki za binadamu umeenea uko Cabo Delgado. 🔸Police yatangaza kuuawa kwa magaidi kumi kwenye kisiwa cha matemo. 🔸Mamlaka zinaripoti kupunguzwa kwa msaada wa chakula kwa watu waliokimbia makazi yao huko…
22 Mar 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,18,2022 tunayo mambo muhimo yafuatoyo. 🔸Magaidi washambulia kisiwa cha matemo wilayani ibo 🔸BAD imeidhinisha Dola za Merkani milioni 1.4 kusaidia wakimbizi na watu waliokimbia makazi yao . 🔸Bandari ya Mocimboa da Praia ilyotembelewa…
18 Mar 2022 4AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.03.2022

Karibu kwenye saiti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delegado Jumane hi machi,15,2022 tunayo mambo muhimo yafuatayo. 🔸Watu waliokimbia vita makazi yao wanadai kurejea katika kijiji cha Mocimboa da Praia 🔸ripot ya OMR imepata kupungua kwa uwezo wa kuajiri makundi yenye silaha. 🔸Uzarishaji w Gesi…
15 Mar 2022 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 10.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado alhamisi hi Machi 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Mashambulizi ya silaha yameshababisha vifo vya watu 15 huko Nangade. 🔸Mawakala wa UIR wamenpiga risasi mfanyabiashara huko Macomia 🔸OIM husaidia katika uundaji wa mabaraza ya usalama ya…
10 Mar 2022 2AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.03.2022

Karibu kwenye Saunt ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumane hi Machi 08,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kutofanya kazi kikosi hicho chá pamoja kunawaleta magaidi karibu na karibu na makao makuu ya Nangade. 🔸Serekali yaidhinisha ya kukandamiza na kupambana na ugaidi. 🔸Urejeshaji wa maeneo…
8 Mar 2022 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 03.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado Alhamisi machi 03,2022. Katika jarida ya leo. 🔸FAO inataka kuboresha lisha ya família zilizokimbia makazi huko Cabo Delgado. 🔸Tume ku ya Malawi ugaidi sio tu hatar kwa msumbiji. 🔸Mkuu wa wa SAMIM atoa wito kwa uwekezaji katika Cabo Delgado. 🔸Raia sabá wauawa katika mashambulizi…
3 Mar 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.02.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Alhamisi fabruari 24,2022. Katika mada ya Leo. 🔸Waliorejea baada ya mashambulizi huko Mecula wanalalamika kuhusu nyenzo zisizotosha za ujenzi. 🔸Wanawake huripoti unyanyasaji wa kijensia katika wadhifa usimamizi wa Namialo. 🔸Maelfu ya watu wamezuiliwa Nangade kutokana na mashambulizi hayo. Endelea kupata habari za mkoa…
24 Feb 2022 10AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 22.02.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Jumaene fabruari 22.2022. Katika mada ya Leo. 🔸Silaha zilizokamatwa njiani kuelekea Nampula. 🔸Magaidi 7 zaidi wauawa kiganjani. 🔸Watu waliokimbia makazi yao bado wanatafuta wanafamilia waliotekwa na magaidi. 🔸Mashambulizi mapya yamerecodia huko Nangade. Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu…
22 Feb 2022 6AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.02.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Ijuma fabruari,18,2022. Katika mada ya Leo. 🔸Rwanda yangoza eneo la usalama. 🔸Wanagambo wa Nangade wanataka silaha na risasi. 🔸Watu waliohamishwa wakichagua kukaa ndani mji wa mecula. Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.ong au…
18 Feb 2022 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 15.02.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 15,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Jeshi la anga la Zambia latenga ndege kwa…
15 Feb 2022 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 10.02.2022

Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 10,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Umoja wa ulaya kufadhili wanajeshi wa Rwanda na…
10 Feb 2022 4AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya 08,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Waasi waua watu sita katika wilaya ya Macomia 🔸Renamo…
8 Feb 2022 11AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.02.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 05,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Magaidi waliwaua watu watatu katika kisiwa cha matemo…
5 Feb 2022 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.02.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 02,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Shambulio la kigaidi laua watu sita huko Meluco…
2 Feb 2022 9AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.01.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 28,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Ukosefo wa usalama katikati na kaskazini mwa Cabo…
28 Jan 2022 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.01.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 27,2022, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸H2N inatoa mafunzo kwa vijana waliohamishwa juu ya…
27 Jan 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.01.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 26,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za. 🔸Hotel inayolea kwenye mji wa kuelekea Cabo Delgado kiwanda…
26 Jan 2022 6AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.01.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 25,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Wasomi wanasema mapema kuimba ushindi katika Cabo Delgado…
25 Jan 2022 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.01.2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 24,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Mkuregenzi wa DAG anasema waasi walikuwa karibu kushambulia…
24 Jan 2022 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.01.2022

Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 21,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Familia zinazokimbia magaidi zalala nja katika kijiji cha…
21 Jan 2022 12AM 4 min
292 – 312