Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 26,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Bado akuna usalama katika maeneo yaliokombolewa huko Cabo Delgado mtafiti anabainisha. 🔸Unyanyasaji wa Kijeshi dhdi ya raia umetawala Kisiwani Pemba . 🔸Wakaguzi wa polisi wanachunguza madai dhidi…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 24,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Serikali inawapa watu wengine ardhi ya watu waliohamishwa makzi huko Cabo Delgado Bila kushauriananao. 🔸Watu sita walikufa katika mashambulizi mapya hukp Macomia na Palma. 🔸Watumishi wengi wa…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado halamisi hii mei 20,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi wajisalimisha uko Nangade kutokana na njaa. 🔸Ukaguzi wa polisi utachunguza ukiukaji wa aki huko Macomia. 🔸Alitekwa washukiwa wa ugaidi katika kisilua cha Quirimba. Endelea kuapata habari…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 12,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wazir wa ulinzi anataka mfumo wa Jeshi la mitaa lakini wachambuzi wanagombea. 🔸Sehemu maalum ya masuala ya ugaidi iliyoundwa huko Cabo Delgado. 🔸Njaa inaweza kuathiri watu 6.000…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wanajeshi elufu saba wa phantom waligunduliwa katika FADM. 🔸Mwendesha mashitaka wa Cabo Delgado atuma kesi ya mdokezi anayedaiwa kuwa gaidi kwa makamani. 🔸Filipe Nyusi anaainisha ugaidi kama…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamisi hii mei 5,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi tena wasababisha vifo huko Nangade. 🔸PMA inapunguza mpango wa watu waliohamishwa makazi yao. 🔸Mawakala wa PRM wapiga risasi wachimba migodi huko Montepuez. Endelea kupata habari kutoka Cabo…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei,03,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Askofu wa Pemba aomba kutohasahau waliohama huko Cabo Delgado. 🔸Uhamiaji uko Cabo Delgado unalalamika ukosefu njia za kisiasa. 🔸Uganda inapatikana kusaidia kupigana ugaidi uko Cabo Delgado. Endeleya kupata…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 28,2022. 🔸Tafiti zinaelekeza kwenye mazungumuzo za washambuliaji ili kukomesha ugaidi. 🔸Wausi 14 wauawa wilayani Nangade. 🔸CAF inatowa Dola za Merekani 500.000 kuwasaidia watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado. Endelea kupata habari…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza záidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumanne hi Abril 26,2022 🔸ExxonMobil itaingia tu kwenye uchunguzi wa gesi baada yaTotal kurejea ardhini. 🔸Wafanyikazi wanalalamika kwa ukosefu wa huduma huko Mocimboa da Praia. 🔸Vijana wanataka kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya macomia. Endelea…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April,21,2022. 🔸Wanajeshi wa Rwanda wanahonekana kufanya kazi eneo la macomia,eneo la misheni ya SADC. 🔸Hali ya usalama inazidi kuimarika,anateteya Wazir wa ulinzi wa taifa. 🔸CDD inataka mazungumuzo na wachambuzi Uruma wa ruby huko…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi Abril,19,2022. 🔸Watu waliokimbia makazi yao wanaomba usaidizi wa biashara katika kituo cha makazi mapya huko Cabo Delgado. 🔸Magaidi warudi kuteka nyara na kuua huko Nangade. 🔸Fátima mimbire arifa kwa zaidi hatua za usalama…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 14,2022. 🔸Hali ya usalama inazidi kuwa mbaya wilayani Nangade. 🔸Idade ya vifo vilivyosababiswa na magaidi huko Cabo Delgado imepunguzwa kwa nusu. 🔸Jeshi lá serekali ya kisasanga watumishi wa umma kurudi kazini. Endelea…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi,April 12,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Graça Machal anatetea mipango jumuishi huko Cabo Delgado. 🔸Kijana huko Cabo Delgado akiwa na mtoto mdogo wa miezi 6 ambaye alibakwa na magaidi. 🔸Rais wa MDM anasema kuwa…
Karibu kwenye sauti yá Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Ijuma hi Abril 08 2022. 🔸Waasi wa Cabo Delgado waua wanajeshi watatu katika wilaya ya Nangade. 🔸MISA inahohi kutojali kwa mamlaka kuhusu kutoweka kwa mwanahabari Ibraimo Mbaruco. 🔸Madaktari wa Cuba huenda wakarejea Cabo Delgado…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi Abril,5,2022. 🔸Majeshi wananaotuhumiwa kuwaua wavuvi katika wilaya ya Palma. 🔸SADC lazima iimarisha misheni Yake uko Cabo Delgado wachambuzi wanasema. 🔸Kurudishwa kwa wafanyakazi kwa wilaya kuathiriwa na ugaidi sio lazima,anasema waziri wa utawala…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado halamisi hi macho 31,03,2022. 🔸Katibu mkuu wa Mocimboa da praia anaomba kurejeshwa kwa haraka kwa watumishi wa umma. 🔸Wanawake na watoto mateka zaidi wanawasili katika wilaya ya Macomia. 🔸Ujumbe wa SAMIM unasema kuwa uliua…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumane hi Machi 29,2022. 🔸Majeshi wanaendelea kutafuta kisiwa cha matemo baada ya chambulio hilo. 🔸Milioni ya risasi inawalazimu wanakijiji wa Macomia kulala msutuni. 🔸OIM yasajili ongezeko la asilimia la idadi waliokimbia makazi yao. Endelea kupata…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,25,2022. 🔸Magaidi huwachilia mateka katika uso wa mifuko ya njaa kwenye ngome zao. 🔸Nangade anazidi kuachwa kutokana na ukosefo wa usalama. 🔸PMA inahitaji Dola milioni 17 kwa muezi kwa ajili ya mgogoro wa…
25 Mar 2022 9AM
5 min
272 – 292
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.