Subscribe to this channel

You can subscribe to new audio episodes published on this channel. You can follow updates using the channel's RSS feed, or via other audio platforms you may already be using.

RSS Feed

You can use any RSS feed reader to follow updates, even your browser. We recommend using an application dedicated to listening podcasts for the best experience. iOS users can look at Overcast or Castro. Pocket Casts is also very popular and has both iOS and Android versions. Add the above link to the application to follow this podcast channel.

Spotify

This channel is available on Spotify. Follow the link above to view episodes on Spotify.

Signup to iono.fm

Sign up for a free iono.fm user account to start building your playlist of podcast channels. You'll be able to build a personalised RSS feed you can follow or listen with our web player.
28
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 28.06.2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawwza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne Hii Juni 28,2022.

🔸Shambulio la kigaidi Huko Mocimboa lauwa watu watatu.

🔸Wimbi jipia lá watu waliokimbia makazi yao lafikia watu 25.000

🔸Viigaji wya mashambulizi vimikamatwa magaidi katika wilaya ya Ancuabe.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa Shimakonde,Kimuani au kishuahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
23
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 23.06.2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii juni 21,2022.

🔸Mkowa wa Nampula warekodi shambulio la kwanza la kigaidi .

🔸Syrah yaanzisha tena shuguli huko Balama.

🔸INGD bila data madhubuti ju ya familia zilizoacha nyumba zao kutokana na mashambulizi ya ivi majuzi huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Facebook cheneli ya telgram na program na program yoyote ya podecast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani, au kishuaili.

Plural Media habri kwa lugha yako.
21
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 21.06.2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo. Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni 21,2022.

🔸Mashambulizi Mapya yamesajiliwa katika Wilaya ya Ancuabe.

🔸Chuo cha wanawake chinatowa wito wa kukomechwa kwa unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana huko Cabo Delgado.

🔸Magaidi Saba wameuawa kwa kupigwa risasi na Jeshi la wenyeji wilayani Nangade.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Wahatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde Kimuani au kishuaili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
16
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 16.06.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi Kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 16,2022.

🔸Takribani watu 12.000 walihusika katika wimbi jipya la watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

🔸Ujumbe wa SADC utangaza kufuta magaidi huko Macomia

🔸Magari na nyumba ziliunguwa karibu kabisa na mji wa pemba.

Endelea kupata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz .org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na programa yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa, Shimakonde ,kimuani au Kishuaili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
14
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 14.06.2022

Karibu kwenye Sauti ya Caobo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamiss Jumanne hii Juni 14,2022.

🔸CDD inakosowa kushindwa kufuata mpango wa ujenzi wa Cabo Cegado.

🔸Zaidi ya watu 100 waliokimbia makazi yao walirejea katika makazi yao huko Mocimbao da Praia.

🔸Na kwa kusindikiza tu iliwezekana kuingia na kutoka mji wa Pemba mwisho wa Jumapili.

Endelea kupata habar za Cabo Delgado kuptia kurasa zetu mpya já avoz org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli yá telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habri za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimauni,au Kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
09
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 09.06.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 09,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Msimamizi wa Ancuabe anawahimiza watu waliohamishwa kurudi kwenye makazi yao .

🔸Mashambulizi ya ivi Majuzi ya Ancuabe na harakati za kigaidi za Quisanga zinaweza kutishia kurejeya kwa watu waliokimbia makazi yao.

🔸Mercani inatowa Dola milioni 100 kusaidia waliokimbia makazi yao.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatpssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
07
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 07.06.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni,07,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Waasi wanaendelea mashambulizi katika wilaya ya Ancuabe na kuua watu 7.

🔸Polisi huko Cabo Delgado wanawashikilia watu kwa kuonekana kuwa waisilamu,ripoti ya Mercani inakashifu.

🔸Serikali itangoa hekta 25.000 huko Palma sio 12.000.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Fecebook cheneli ya telgram na program yoyote podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25883285766 kisha uchague lugha yako,kati ya Kireno,Emakwa Shimakonde,Kimuani au Kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.
02
JUN

Sauti Ya Cabo Delgado 02.06.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambaopo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamisi hii Juni 02,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Watu watatu wameuawa na kumi kujeruhiwa katika mashambulizi zaidi ya kigaidi huko Cabo Delgado.

🔸Watu waliokimbia makazi yao wakifanya mazoezi ya chuma chakavu katika mji wa Pemba.

🔸Kampuni 150 zilizoathiriwa na ugaidi walianza tena chuguli zao.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Fecebook cheneli ya telgram na program yoyote podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako
31
MAY

Sauti Ya Cabo Delgado 31.05.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Mei 31,22.tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Msumbiji lazima iweke kamari kwenye vikosi malumum na rasilimali za kisasa ili kupambana na magaidi anaonya ntalamu wa FADM.

🔸Raisi nyusi anasema watu waliofurushwa makwao hawakuhurusiwa kurejea.

🔸Wakimbizi walalamikia gharama kubwa za maisha Pemba.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako, kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.
26
MAY

Sauti Ya Cabo Delgado 26.05.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 26,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Bado akuna usalama katika maeneo yaliokombolewa huko Cabo Delgado mtafiti anabainisha.

🔸Unyanyasaji wa Kijeshi dhdi ya raia umetawala Kisiwani Pemba .

🔸Wakaguzi wa polisi wanachunguza madai dhidi ya Majeshi wa UIR huko Macomia

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pkeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au Kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.
24
MAY

Sauti Ya abo Delgado 24.05.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 24,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Serikali inawapa watu wengine ardhi ya watu waliohamishwa makzi huko Cabo Delgado Bila kushauriananao.

🔸Watu sita walikufa katika mashambulizi mapya hukp Macomia na Palma.

🔸Watumishi wengi wa muidumbe bado awajarejea wilayani humo

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
20
MAY

Sauti Ya Cabo Delgado 20.05.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado halamisi hii mei 20,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Magaidi wajisalimisha uko Nangade kutokana na njaa.

🔸Ukaguzi wa polisi utachunguza ukiukaji wa aki huko Macomia.

🔸Alitekwa washukiwa wa ugaidi katika kisilua cha Quirimba.

Endelea kuapata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatissap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, Emakwa ,Shimakknde,Kimuani au kishahili.

Plural Media habari kwa Lugha yako.

247 episodes

« Back 13—24 More »